Matukio ya mpira ligi kuu Tanzania bara kati ya Prisons v Yanga mjini Mbeya
Hapa Nguvu zilikuwa sawasawa
Mashabiki kibao wanatazama mpira
Mechi inaishia ishia hapa
Na Mpira Umekwisha Shamla shamla kwa sana
Mashabiki kwa sana hapa wakiwa wanashangilia
Kocha wa Yanga haamini kama Mpira umekwisha
Polisi nao wapo wakihakikisha usalama
Mwandishi wa habari akipansha tukio Live
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abas Kandoro akiongea na waandishi wa habari Mara baada ya mpira kwisha.
via Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment