UZINDUZI WA ALBAM YA MASHUJAA NA JB MPIANA YAINGIA DOSARI.....MMILIKI AZIMIA NA KUKIMBIZWA HOSIPITALI
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgN6nahMondbbwh9PEnZ5DuU1DPDfkfhpH4ZspLw1aCC20fkZkZGIkXvK_SNvc4z3bjDLJ8kHYCgnpAzLV3I7KSXARj5C6yJV-2EZy5sXJmiQHPuHY8qmT8HAhRPQsv7I26s8658BoiqlE/s640/IMG_0390.jpg)
Mwanamuziki kutoka DRC-Congo,JB Mpiana akitumbuiza jukwaani mara baada
ya kupanda mnamo majira ya saa tisa kasoro,baada ya hitilafu za umeme
kwenye jenerata kurekebishwa.
-------------------------
SHOO
YA UZINDUZI WA ALBAM YA PILI YA MASHUJAA BAND, ILIINGIA DOSARI NA
KUTAKA KUSHINDWA KUFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB USIKU HUU
KUTOKANA NA KATIZO LA UMEME LA MARA KWA MARA LINALOSABABISHWA NA
JENERETA LINALOTUMIWA KUTOA UMEME KATIKA VIWANJA VYA LEADERS
CLUB,JIJINI DAR.
HALI HIYO ILIPELEKEA MMILIKI WA BENDI YA MASHUJAA,MAMA SAKINA KUPOTEZA FAHAMU NA KUKIMBIZWA HOSPITALI.
No comments:
Post a Comment