UBUNGE NI KAZI YA KIBWEGE..." AFANDE SELE KATIKA XXL JANA
Ubunge
ni kazi ya 'kibwege' watu wamekuchagua ili uwatumikia kwa hiyo
unatakiwa kuwa mtumwa wa watu wako kwa kuwa karibu na kufanya kile
wanachokihitajiwao na siyo kukalia kiti hicho kwa niaba yako na ndugu
zako, inanishangaza sana mtu anachaguliwa ndani ya miaka miwili tayari
anamiliki Vogue sasa huu ka siyo wizi ni nini" Afande Sele
No comments:
Post a Comment