Msanii Diamond akilishambulia jukwaa la Fiesta usiku huu.
Linah nae akifanya vitu vyake jukwaani.
Msanii Ommy Dimpoz na kundi lake wakionyesha machejo yao stejini.
Shetta akiwarusha mashabiki ndani ya Leaders Club usiku huu.
Wasanii wa kundi la Wanaume Family wakifanya vitu vyao stejini.
No comments:
Post a Comment