Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa skafu baada ya kuwasili Uwanja wa
ndege wa Buzwagi, Kahama kwa ziara ya siku moja wilayani humo, Septemba
8, 2012. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa
Shinyanga, Hamisi Mgeja.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Msalala, Ezekiel
Maige, huku mkewe, Tunu akisalimiana na viongozi wa Wilaya ya
Kahamahuku baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Buzwagi, wilayani humo
kwa ziara ya siku moja leo, Septemba 8, 2012. Kushoto ni Mbunge wa
Viti Maalum, Azza Hilal na watatu kulia ni Mbunge wa Kahama, James
Lembeli.
Wasanii
wa Kahama, wakicheza ngoma ya Waswezi, wakati Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda alipowasili Uwanja wa ndege wa Buzwagi, Kahama kwa ziara ya siku
moja leo, Septemba 8, 2012. Katikati yao yupo Mbunge wa Kahama, James Lembeli.
No comments:
Post a Comment